Shijo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Shijo

Shijo (17 Machi, 123110 Februari, 1242) alikuwa mfalme mkuu wa 87 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Mitsuhito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Go-Horikawa. Mwaka wa 1232 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake kwa ajali. Aliyemfuata kama Tenno ni Go-Saga.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shijo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.