Selina Neirok Leem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selina Neirok Leem ni mwanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa kutoka Visiwa vya Marshall. Alikuwa mzungumzaji mdogo zaidi katika COP21 na pia amezungumza katika COP26, akitoa "maombi ya dhati" kwa viongozi wa dunia kwa ajili ya kuongeza hatua za kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. [1] Selina hivi majuzi alikua mzungumzaji wa TED kwenye mkutano wa kilele wa TED mwaka 2021.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "'Small Island Big Song' Spoken Word Performer– SELINA LEEM". Grand Vision Foundation. 5 April 2022. Iliwekwa mnamo 8 July 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selina Neirok Leem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.