Kisanskrit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sanskrit)
Rukia: urambazaji, tafuta
Mwandiko wa Sanskrit

Sanskrit ni lugha ya kale ya Uhindi. Ni maarufu kama lugha ya vitabu vitakatifu vya Uhindu na Ubuddha.

Siku hizi ni lugha ya elimu na ya kidini inayojifunzwa na wataalamu na makuhani. Katika shule za sekondari nchini Uhindi inafundishwa pia na wanafunzi wengi wanapata kiwango fulani cha lugha hii. Zamani ilijadiliwa na watu kama lugha ya kawaida. Tangu karne kadhaa huandikwa kwa mwandiko wa Devanagari.

Sanskrit imepangwa pamoja na Kihindi na Kiurdu kati ya Lugha za Kihindi-Kiarya ambazo ni kitengo cha Lugha za Kihindi-Kiajemi ndani ya familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya

Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.