Sandra de Pol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sandra de Pol (alizaliwa 7 Mei 1975) ni mchezaji wa soka wa zamani wa nchini Uswisi na ambaye alicheza kama beki wa timu ya wanawake ya Bayern Munich kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga.[1] Na timu ya taifa ya Uswisi katika miaka ya 1990. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Statistics in Soccerway
  2. Profile in UEFA's website
  3. Profile Archived 21 Machi 2012 at the Wayback Machine. in Bayern's website
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra de Pol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.