Sadio Kanoute

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sadio Kanouté (alizaliwa Oktoba 21 1996) ni mchezaji wa soka wa Mali anayecheza kama kiungo wa kati kwa klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Mali.

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Kanouté alicheza kwanza katika timu ya taifa ya Mali katika mechi ya kufuzu kwa 2020 African Nations Championship ambayo iliisha kwa sare ya 0-0 dhidi ya Mauritania mnamo Septemba 21, 2019.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Strack-Zimmermann, Benjamin (21 Sep 2019). "Mauritania vs. Mali (0:0)". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 26 Mar 2021. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sadio Kanoute kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.