Rombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Rombo (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.

Rombo ni miongoni mwa wilaya sita za mkoa wa Kilimanjaro upande wa mashariki ya mlima. Mkuu ni makao makuu ya wilaya hiyo. Warombo ni sehemu ya Wachagga.

Wilaya imepakana na Kenya upande wa kaskazini na mashariki, wilaya ya Hai upande wa magharibi na wilaya ya Moshi vijijini upande wa Kusini.

Idadi ya wakazi ni 246,479 (sensa ya 2002) [1].

Viungo vya Nje [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Rombo - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Katangara Mrere | Kelamfua Mokala | Keni Aleni | Keni Mengeni | Kirongo Samanga | Kirwa Keni | Kisale Masangara | Kitirima Kingachi | Mahida Holili | Makiidi | Mamsera | Mengwe Manda | Motamburu Kitendeni | Mrao Keryo | Nanjala Reha | Olele | Shimbi | Tarakea Motamburu | Ubetu Kahe | Ushiri Ikuini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.