Rod Wave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rodarius Marcell Green

Rod Wave akitumbuiza huko Pittsburgh akiwa Ziara yake ya Nzuri ya Akili 2022
Amezaliwa Agosti 27, 1998
St. Petersburg, Florida, Marekani.

Rodarius Marcell Green[1] (alizaliwa Agosti 27, 1998), akijulikana kitaaluma kama Rod Wave, ni rapa na mwimbaji wa Marekani.[2][3][4] Anajulikana kwa sauti yake kali na nzito na kuingizwa kwa hip hop na R&B,[2] na ametambuliwa kama trailblazer wa soul-trap.[5]

Rod Wave alipata umaarufu na single yake 2019 "Heart on Ice", ambayo ilisambaa kwenye YouTube na TikTok na kushika nambari 25 kwenye Billboard Hot 100.[6] Rod Wave albamu yake kwanza "Ghetto Gospel" (2019), imeshika nafasi ya 10 kwenye US Billboard 200.[7] Na albamu yake ya pili. Pray 4 Love (2020), imeshika nafasi ya 2 pili kwenye the Billboard 200[8], na kujumuisha nyimbo "Rags2Riches", ilioshikiria nafasi ya 12 kwenye the Hot 100. Albamu yake ya tatu, SoulFly[9] (2021), ilianza kwa namba 1 kwenye Billboard 200 (Ikiwa albamu yake ya kwanza iliyoshika chati).[10]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Carl Lamarre (2020-07-28). "Why Rod Wave Might Be Writing Movie Scripts One Day". Billboard. Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  2. 2.0 2.1 "Hip Hop Awards ‘20: Get To Know Fast-Rising Florida Rapper, Rod Wave". BET (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  3. "How Rod Wave made it from St. Petersburg to music stardom". Tampa Bay Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  4. "Rod Wave Biography, Songs, & Albums". AllMusic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  5. rew Sacher, rew Sacher. "28 New Rap and R&B Songs Out This Week". BrooklynVegan (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  6. "12 Songs Blowing Up on TikTok (That Are Actually Worth Listening to)". Complex (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  7. Rosalie Cabison (2013-01-02). "Billboard 200". Billboard (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  8. Carl Lamarre (2020-07-28). "Why Rod Wave Might Be Writing Movie Scripts One Day". Billboard. Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  9. "SoulFly (Rod Wave album)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-12-01, iliwekwa mnamo 2022-12-11 
  10. Keith Caulfield, Keith Caulfield (2021-04-04). "Rod Wave Earns First No. 1 Album on Billboard 200 Chart With ‘SoulFly’". Billboard (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rod Wave kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.