Robbie Klay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robbie Klay
Amezaliwa Amezaliwa Juni 20, 1986)
Kazi yake mwimbaji wa Afrika Kusini, mwandishi wa nyimbo, mwigizaji wa runinga na wa kumbi za michezo,Anaimba kwa Kiafrikaans na Kiingereza katika muziki wa pop na rock.

Marejeo


Robbie Klay (amezaliwa Juni 20, 1986) ni mwimbaji wa Afrika Kusini, mwandishi wa nyimbo, mwigizaji wa runinga na wa kumbi za michezo.[1] Anaimba kwa Kiafrikaans na Kiingereza katika muziki wa pop na rock. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rising Artist: Robbie Klay". Entertwine: The Entertainment Blog. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-10-09. 
  2. ""A Little Rock n’ Roll" is Just Enough to Soothe Your Soul - Robbie Klay". Music Connection- Dayton. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robbie Klay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.