Richard Grossman (mwandishi)
Richard L. Grossman (Agosti 10, 1943 – Novemba 22, 2011) alijulikana vyema kutokana na kazi yake ya kupinga uhalali wa mamlaka ya mashirika mbalimbali huko nchini Marekani[1]. Alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Greenpeace[2], mwanzilishi wa Wanamazingira, na mkurugenzi mwenza wa Mpango wa Mashirika, Sheria na Demokrasia (POCLAD).[3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-20. Iliwekwa mnamo 2022-08-01.
- ↑ Reuters (1985-10-12), "AROUND THE WORLD; Greenpeace Says Ships Will Continue Protest", The New York Times (kwa en-US), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-08-01
- ↑ "Program on Corporations, Law & Democracy". www.poclad.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-01.