Renan Lodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Renan Lodi


Renan Augusto Lodi dos Santos (maarufu]] kwa jina la Renan Lodi; amezaliwa 8 Aprili 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Brazil; pia anacheza katika klabu ya Hispania ya Atletico Madrd akicheza nafasi ya beki wa kushoto.

Alijiunga na klabu hiyo akitokea timu ya vijana iitwayo Atletico paranaense amesaini mkataba na klabu ya Atletico Madrid wa miaka sita ya kuitumikia klabu hiyo ya maskani ya Hispania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Renan Lodi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.