Ras al-Khaimah
Mandhari
Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Rasi ya hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.
Eneo lake ni 1700 km². Jumla hili limegawiwa kwa sehemu mbili zinazotenganishwa na maeneo ya falme nyingine. Kuna wakazi 250,000.
Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- WorldStatesmen
- RAK Free Trade Zone Ilihifadhiwa 3 Januari 2019 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- RAK e-Government portal
- RAK Police Ilihifadhiwa 18 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine. - in Arabic
- Ras Al Khaimah Chamber of Commerce, Industry and Agriculture Ilihifadhiwa 5 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Ras Al Khaimah Business Club Ilihifadhiwa 23 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine.
- Ras Al Khaimah Ex-pat community site Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Satellite map of Ras al Khaimah Ilihifadhiwa 10 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Region Map and Satellite Map of Ras al Khaimah Ilihifadhiwa 25 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Space Adventures Announces $265 Million Global Spaceport Development Project Ilihifadhiwa 15 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ras al-Khaimah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |