Ras al-Khaimah
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Kilele cha hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.
Eneo lake ni 1700 km². Kuna wakazi 250,000.
Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.
[hariri] Marejeo
[hariri] Viungo vya nje
- RAK e-Government portal
- RAK Police - in Arabic
- Ras Al Khaimah Chamber of Commerce, Industry and Agriculture
- Ras Al Khaimah Business Club
- Ras Al Khaimah Ex-pat community site
- Satellite map of Ras al Khaimah
- Region Map and Satellite Map of Ras al Khaimah
- Space Adventures Announces $265 Million Global Spaceport Development Project
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ras al-Khaimah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
bg:Рас ал-Хайм ca:Ras al-Khaimah de:Ra's al-Chaima en:Ras al-Khaimah eo:Ras-al-Ĥajmo es:Ras el Jaima et:Ra's al-Khaymah' emiraat eu:Ras al-Khaimah fr:Ras el Khaïmah he:ראס אל-ח'ימה hu:Rász-el-Haima id:Ras al-Khaimah it:Ras al-Khaimah ja:ラアス・アル=ハイマ ko:라스 알 카이마 lb:Ras al Chaima nl:Ras al-Khaimah (emiraat) nn:Ras al-Khaimah pms:Ras al-Khaimah pt:Ra's al Khaymah ro:Ras Al-Khaimah ru:Рас-Аль-Хайма (эмират) sv:Ras al-Khaimah ta:ராஸ் அல் கைமா tr:Resü'l-Hayme zh:拉斯海玛