Raphael Benedict Mwalyosi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Raphael Benedict Mwalyosi (amezaliwa tar. 3 Desemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Ludewa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Raphael Benedict Mwalyosi (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |