Querétaro, Querétaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Querétaro, Querétaro



Jiji la Querétaro
Nchi Mexiko
Jimbo Querétaro
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 596,450
Tovuti:  www.municipiodequeretaro.gob.mx

Querétaro (jina rasmi: Santiago de Querétaro) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Querétaro upande wa kati ya nchi Mexiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 596,450 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 759.9 km².

Mji upo m 1,820 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Waconquistador mwaka 1531.


Querétaro katika Querétaro

.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Querétaro, Querétaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.