Pyramids FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pyramids Football Club (Kiarabu: نادي بيراميدز لكرة القدم‎ au نادي الأهرام لكرة القدم) ni klabu ya soka ya Misri ambayo ina makao yake makuu huko Cairo na inashindana katika Ligi Kuu ya Misri, ligi kuu katika mfumo wa ligi ya soka ya Misri.[1]

Pyramids FC hucheza mechi zao za nyumbani katika Uwanja wa 30 Juni jijini Cairo.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Klabu hiyo iliundwa kama Al Assiouty Sport jijini Beni Seuf mwaka 2008.[2] Klabu hiyo ilipandishwa daraja kuingia katika Ligi Kuu ya Misri kwa mara ya kwanza mwaka 2014,[3] lakini walimaliza wa 19 na kushushwa daraja katika msimu wao wa kwanza.[4] Walishinda Kundi A la Daraja la Pili katika msimu wa 2016–17 na kupandishwa tena kuingia Ligi Kuu.[5]

klabu hiyo ilinunuliwa na kuhamishiwa Cairo mwaka 2018.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Pyramids FC نادي الفلوم الرياضي" (kwa Kiarabu). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 May 2019. Iliwekwa mnamo 25 July 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "The Crazy Story of Egyptian Football Club Pyramids FC". Hooligan F.C. (kwa en-US). 2020-05-10. Iliwekwa mnamo 2022-01-13. 
  3. "الأسيوطي سبورت يتأهل للدوري الممتاز" [Al Assiouty Sport promoted to the Egyptian Premier League] (kwa Kiarabu). FilGoal. 26 June 2014. Iliwekwa mnamo 21 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Egyptian Premier League 2014/2015 - Results, fixtures, tables and stats - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2022-01-14. 
  5. "الأسيوطي يصعد رسميا للدوري الممتاز | Goal.com". www.goal.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 January 2022. Iliwekwa mnamo 2022-01-14.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Pyramids FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.