Puaz Shop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Puaz Shop Iliyo chini ya kampuni ya Puaz Company Limited ni Chapa ya mavazi, Viatu na vifaa mbali kama pochi za kike, mikanda pamoja na saa iliyoanzisha na kumilikiwa na moja wa mameneja wa talanta Tanzania Mr Puaz.[1][2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Chapa ya Puaz Shop ilizinduliwa mwezi wa tano mwaka 2021 jijini Dar es saalaam na moja ya mameneja wa talanta ya muziki Tanzania ndugu Joel Vicent Joseph ama kwa jina maarufu Mr Puaz[3].Puaz Shop itahusika moja kwa moja katika utengenezwaji wa bidhaa zenye chapa mbali mbali chini ya kampuni ya Puaz Company Limited. Akinukuliwa na moja ya vyombo vya habari Mr Puaz amesema Puaz Shop ni Chapa inayotarajia kubadilisha sura nzima ya mavazi, viatu kwa wanawake na wanaume, mikoba na mengine kwa kuwapa maoni anuwai ya mitindo lakini pia kuwaleta karibu na bidhaa wanazopenda, na hii itasaidia zaidi ukuaji wa tasnia ya mitindo nchini Tanzania.[4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fredrick Bundala (2021-09-13). "ALIYEKUWA MENEJA WA HARMONIZE AZINDUA BRAND YAKE KUPITIA PUAZ SHOP". Simulizi na Sauti (SnS) (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-16. Iliwekwa mnamo 2021-09-16. 
  2. "Ex-Harmonize Manager Mr. Puaz unveils new business venture, talks artiste management [Exclusive]". Pulselive Kenya (kwa Kiingereza). 2021-09-11. Iliwekwa mnamo 2021-09-16. 
  3. http://Imagine2021+ (2021-09-13). "Meneja Wa Zamani Wa Harmonize Azindua Chapa Yake Ya Puaz Shop". Bongo Swaggz (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-16. Iliwekwa mnamo 2021-09-16. 
  4. "Former Harmonize Manager Mr Puaz Launched His Brand - Opera News". ke.opera.news. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-25. Iliwekwa mnamo 2021-09-16. 
  5. https://mpasho.co.ke/authors/queen-of-goss. "Exclusive: Five things you need to know about Harmonize's ex manager". Mpasho (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2021-09-16.