Pilatus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Pilatus.

Pilatus ni mlima wa Alpi karibu na mji wa Luzern katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 2,129 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pilatus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.