Pijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Pijini ni lugha changa ambayo hutokea pale ambapo wazungumzaji wa lugha mbili tofauti hukutana; hapo, ili kukidhi haja yao ya kuwasiliana, inawalazimu kuibua au kutumia lugha moja ambayo itawawezesha kuelewana katika nyanja za mawasiliano.

Kwa maneno mengine, pijini ni lugha ambayo huzuka pale ambapo makundi mawili ya watu wenye lugha mbalimbali yanapokutana na haja ya mazungumzo hutokea.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pijini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.