Pedro Santana Lopes
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pedro Santana Lopes (amezaliwa 29 Juni, 1956) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ureno kuanzia 17 Julai, 2004 hadi 12 Machi, 2005.
[hariri] Angalia Pia
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pedro Santana Lopes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |