Pedro Arrojo-Agudo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pedro Arrojo-Agudo ni mwanafizikia, mwanauchumi, mwanamazingira, na profesa katika Chuo Kikuu cha Zaragoza nchini Hispania.

Mnamo mwaka 2003 alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman kwa mchango wake wa kuhifadhi maji.[1]Alifanywa kuwa mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu kwa maji salama ya kunywa na usafi wa mazingira mnamo mwezi Oktoba 2020.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Europe 2003. Pedro Arrojo-Agudo. Spain. Rivers & Dams". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2010. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mr. Pedro Arrojo-Agudo, Special Rapporteur on the human rights to safe drinking water and sanitation". Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)