Panda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Panda ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Panda(kitenzi) – Ni tendo la kukwea katika miti.
- (kitenzi) – Ni tendo la kuingia katika vyombo vya usafiri kwa mfano gari, pikipiki au baiskeli.
- Panda(kitenzi) – Ni tendo la kufukia mbegu ardhini katika kilimo.
- Panda(nomino) – Ni jina la aina ya mnyama wa porini ambaye anapembe ndefu.