Orodha ya wakuu wa nchi Guinea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rais wa Jamhuri ya
Guinea
Aliyepo
Alpha Condé

tangu 21 Desemba 2010
MakaziPresidential Palace, Conakry
KipindiMiaka 7
Muundo2 Oktoba 1958

Ifuatayo ni orodha ya wakuu wa nchi wa Guinea tangu nchi imekuwa huru kutoka kwa Ufaransa mnamo 1958.

Orodha ya Wakuu wa Nchi wa Guinea[hariri | hariri chanzo]

(Tarehe zilizowekewa mlalo zinaashiria uendelezo wa kuwa ofisini "bila kupingwa")

Muda Picha Aliyepo Ushirikishwaji Maelezo
Jamhuri ya Guinea Uhuru kutoka Ufaransa
(République du Guinée)
2 Oktoba 1958 hadi 1 Januari 1979 Ahmed Sékou Touré, Rais PDG-RDA
Jamhuri ya Mapinduzi ya Watu wa Guinea
(République Populaire Révolutionnaire du Guinée)
1 Januari 1979 hadi 26 Machi 1984 Ahmed Sékou Touré, President PDG-RDA Amefia ofisini
26 Machi 1984 hadi 3 Aprili 1984 Louis Lansana Beavogui, Kaimu Rais PDG-RDA Ametolewa kwa kupinduliwa
3 Aprili 1984 hadi 5 Aprili 1984 Lansana Conté, Mwenyekiti wa Kamati ya Kijeshi ya Urejeshi wa Taifa Jeshi
5 Aprili 1984 hadi 25 Mei 1984 Lansana Conté, Rais
Jamhuri ya Guinea
(République du Guinée)
25 Mei 1984 hadi 22 Desemba 2008 Lansana Conté, Rais Jeshi/PUP Amefia ofisini
22 Desemba 2008 hadi 23 Desemba 2008 Aboubacar Somparé, Kaimu Rais PUP Ametolewa kwa kupinduliwa
23 Desemba 2008 hadi 3 Desemba 2009 Moussa Dadis Camara, Rais Mil Kashindwa kuongoza baada ya jaribio la kutaka kuuawa
3 Desemba 2009 hadi 21 Desemba 2010 Sékouba Konaté, Kaimu Rais Mil
21 Desemba 2010 hadi Sasa Alpha Condé, Rais RPG

Kwa Viongzo wa Kikoloni kabla ya uhuru, tazama: Viongo wa Kikoloni wa Guinea

Ushirikishwaji[hariri | hariri chanzo]

PDG-RDA Parti Démocratique de Guinée-Rassemblement Démocratique Africain
(Democratic Party of Guinea – African Democratic Rally)    soshalisti, chama halali kuanzia 1960-1984 tu
PUP Parti de l'Unité et du Progrès
(Unity and Progress Party)    -enye kulazimisha utii
UPG Union pour le Progrès de la Guinée
(Union for the Progress of Guinea)
RPG Rassemblement du Peuple Guinéen
(Rally of the Guinean People)
Mil Military
n-p non-partisan
edit this box

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Serikali

Kigezo:Guinea topics