Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni orodha ya viwanja vya michezo vya mpira nchini Tanzania kulingana na uwezo wa kuchukua idadi ya watu uwanjani.
Unaweza kuongezea Orodha ya viwanja hivi
Image |
Uwanja |
Mahali Ulipo |
Uwezo |
Mmiliki
|
|
Uwanja wa Taifa (Tanzania) |
Dar es Salaam |
60,000[1] |
Serikali
|
|
Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba |
Mwanza |
35,000[1] |
Chama Cha Mapinduzi
|
|
Uwanja wa michezo wa Kambarage |
Shinyanga |
30,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Gombani |
Chake Chake |
30,000[2] |
|
|
uwanja wa michezo wa Uhuru |
Dar es Salaam |
23,000[2] |
Government
|
|
Uwanja wa michezo Ali Hassan Mwinyi |
Tabora |
20,000[3] |
|
|
Uwanja wa Kumbukumbu wa Shekhe Amri Abeid |
Arusha |
20,000[2] |
Chama Cha Mapinduzi
|
|
Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika |
Kigoma |
20,000[2] |
Chama Cha Mapinduzi
|
|
Uwanja wa michezo Amaan |
Unguja |
15,000[2] |
Revolutionary Government
|
|
Uwanja wa michezo wa Mkwakwani |
Tanga |
15,000[2] |
Chama Cha Mapinduzi
|
|
Uwanja wa michezo Nangwanda Sijaona |
Mtwara |
15,000[1] |
|
|
Uwanja wa Michezo wa Jamhuri (Morogoro) |
Morogoro |
10,000[1] |
Chama Cha Mapinduzi
|
|
Uwanja wa michezo wa Jamhuri (Dodoma) |
Dodoma |
10,000[2] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Sokoine |
Mbeya |
10,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Maji Maji |
Songea |
10,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Chamazi |
Dar es Salaam |
10,000[1] |
|
|
Uwanja wa Michezo wa Manungu |
Turiani |
5,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Kaitaba |
Bukoba |
5,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Mlandizi |
Mkoa wa Pwani |
3,000[1] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Karume |
Dar es Salaam |
2,000[4] |
|
|
Uwanja wa michezo wa Mwadui |
Shinyanga |
1,000[1] |
|