Omary Ahmad Badwel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omary Ahmad Badwel Amezaliwa 5 Machi 1969 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha siasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bahi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017