Omar Bendriss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omar Bendriss ni mwanasoka wa Moroko. Kwa sasa Bendriss anaitumikia klabu ya FAR Rabat, akicheza nafasi yake kama beki. Bendriss alizaliwa tarehe 25 Mei mwaka 1984.

Bendriss alichezea timu ya taifa ya Moroko ya vijana chini ya umri wa miaka 20 katika Mashindano ya Vijana ya Afrika mnamo mwaka 2003. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Championnat d'Afrique 2003 : l'équipe nationale en stage à Salé" (kwa French). Le Matin. 23 November 2002. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-16. Iliwekwa mnamo 2023-06-10.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omar Bendriss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.