Nnaemeka Ajuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nnaemeka Favour Ajuru (alizaliwa 28 Septemba 1986) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo mkabaji.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuanza na klabu ya Zamfara United, Ajuru aliwasili klabu ya Javor Ivanjica wakati wa msimu wa 2004-05. Baadaye alitumwa kwa mkopo na klabu yaMetalac Gornji Milanovac kwa msimu mzima na baadae kurejea Ivanjica kabla ya msimu wa 2006-07.[1]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Javor Ivanjica

  • Ligi ya Kwanza ya Serbia: 2007-08
  • Kombe la Serbia: Mshindi wa pili 2015-16

Vojvodina

  • Kombe la Serbia: Mshindi wa pili 2009-10, 2010-11, 2012-13

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Predstavljeni Vulićević i Ađuru" (kwa Serbian). b92.net. 24 June 2009. Iliwekwa mnamo 19 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nnaemeka Ajuru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.