Nkansi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Nkansi katika mkoa wa Rukwa.

Wilaya ya Nkansi ni wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 208,497 [1].

Marejeo [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nkansi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya NkansiMkoa wa Rukwa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chala | Isale | Kabwe | Kala | Kate | Kipande | Kirando | Mkwamba | Mtenga | Namanyere | Ninde | Sintali | Wampelembe