Nana Kagga
Nana Hill Kagga Macpherson (anajulikana kama “Nana Kagga-Hill” au kama “Nana Hill” au “Nana Hill Kagga”) ni mwigizaji , mtengeneza filamu, muumbaji wa maudhui, mtumiaji hati, mhandisi wa mafuta na mhamasishaji wa kike kutoka Uganda.[1] Pia anajulikana kwa kazi zake kama The Life, Beneath The Lies – The Series kama mwandishi na mzalishaji mkuu, na muigizaji wa kike katika kipindi cha Star Trek.[2][3]
Alikuwa mmoja wa majaji katika Shindano la Miss Uganda 2018. [4]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Star Profile: Nana Kagga An All Round Dreamer Changing The Face Of Television". Chano 8. Roy Ruva. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-19. Iliwekwa mnamo 16 June 2016. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Nana Kagga parades boo". Retrieved on 27 April 2015. Archived from the original on 2015-05-08.
- ↑ "New star studded TV series to hit screens in 8 weeks". Retrieved on 30 July 2014.
- ↑ "Five Miss Uganda beauty pageant judges unveiled". Uganda Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-18. Iliwekwa mnamo 6 July 2018. Check date values in:
|accessdate=
(help)