Nadeen Ashraf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadeen Ashraf katika jopo la majadiliano katika Chuo Kikuu cha Marekani katika mfululizo wa matukio ya Cairo Speak Up kushughulikia unyanyasaji wa kijinsia katika vyuo vikuu kote Misri.
Nadeen Ashraf katika jopo la majadiliano katika Chuo Kikuu cha Marekani katika mfululizo wa matukio ya Cairo Speak Up kushughulikia unyanyasaji wa kijinsia katika vyuo vikuu kote Misri.

Nadeen Ashraf ni mzaliwa wa Misri na mwanaharakati wa haki za wanawake. Alitumia mitandao ya kijamii kuchochea vuguvugu la kampeni iliyoitwa #MeToo iliyofanyika Misri. Pia ni seemu ya orodha ya wanawake 100 wa BBC katika 2020.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "BBC 100 Women 2020: Who is on the list this year?", BBC News (kwa en-GB), 2020-11-23, iliwekwa mnamo 2022-03-02 
  2. "100 Women (BBC)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-23, iliwekwa mnamo 2022-03-02 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadeen Ashraf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.