Mtumiaji:Rehema-zamani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimekuta hao watu wanaoamini kuwa Kiswahili haifai kutumikiwa katika sayansi, hasa elimu ya juu. Wanaamini kuwa lugha ya Kingereza pekee inafaa kuwa lugha ya mafundisho. Dhidi hao ninaamini kuwa lugha zote zinafaa, na Kiswahili ni lugha nzuri. Nimeunga mikono yangu katika wikedia ili kupandisha na kupanusha matumizi ya kiswahili katika mtandao na elimu. (Mambo zaidi yanakuja).

/Rehema