Mtumiaji:Jonny Frosty/Karipio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karipio katika sheria ya makosa ya jinai nchini Uingereza na Wales,karipio la kawaida lilikua ni aina ya kero inayotolewa na mtu mwenye hasira na kuharibu amani katika jamii kwa kugombana,kuzozana na watu waliomzunguka.Walioadhibiwa kwa kurapia walikua wanawake,ingawa wanaume pia huwa wanakutwa na kosa la kukaripia.