Mtumiaji:Johteo/Sheria ya Watoto na Vijana ya 1933

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sheria ya Vijana na Watoto ya 1933 (23 & 24 Geo.5 c.21) ni sheria ya Bunge la Uingereza na Ireland ya Kaskazini iliunganisha sheria zote zilizopo za ulinzi wa watoto kwa Uingereza na Wales kuwa sheria moja.[1] Ilifuatiwa na Sheria ya  Vijana na Watoto ya 1920 na  Sheria ya Mtoto ya 1908. Imerekebishwa na Sheria ya Vijana na Watoto ya mwaka 1963, Sheria ya Vijana na Watoto ya mwaka 1969 na Sheria ya Vijana na Watoto ya mwaka 2008.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Children and Young Persons Act 1933 - full text". www.educationengland.org.uk. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.