Mtumiaji:Jamessmiller1985/Daniella Pineda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pineda 2016

Daniella Nicole Pineda (alizaliwa 20 Februari 1987) ni mwigizaji wa Marekani, mwandishi, na mchekeshaji. Alizaliwa mjini Oakland, California. [1] Anajulikana kwa jukumu lake kama Zia Rodriguez kwenye Jurassic World: Fallen Kingdom. [2] Yeye pia aliigiza kama Sophie kwenye kipindi cha televisheni cha The Originals.

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sauers, Jenna (26 Oktoba 2012). "You Need To Be Watching This Woman's Videos". Jezebel. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2012. Pineda, 24...{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kroll, Justin (23 Januari 2017). "'Jurassic World': 'The Detour' Actress Daniella Pineda Lands Key Role in Sequel (Exclusive)". Variety. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Tovuti zingine[hariri | hariri chanzo]

  • Daniella Pineda kwenye IMDb

[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]] [[Jamii:Watu walio hai]] [[Jamii:Waliozaliwa 1987]]