Mtumiaji:JOSHUA BEATUS/K. C. Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

K. C. Jones( 25 Mai 1932 - 25 desemba 2020) ni mchezaji mahariri wa mpira wa kikabu wa kimarekani na pia ni kocha.

Ni mtu bora sana anayetambulika kutoka kikundi chake cha Boston Celtics cha National basketball association(NBA), ambaye aliweza kutwaa ubingwa mara 11 katika 12 mashindano ya kibingwa ya taifa ya mpira wa kikapu(manane kama mchezaji, moja kama kocha msaidizi, na mawili kama kocha mkuu)[1]. kama mchezaji amefungwa mara tatu michuano yake ya NBA na ni moja miongoni mwa wachezaji wa tatu wa NBA wenye rikodi 8 za fainali za NBA. Ni kocha pekee wenyewe asili ya mmarekani-mweusi ukimuacha Bill Russell ambaye alishinda ubingwa wa NBA mara mbili mfululizo. Jones aliingizwa kwenye Naismith Memorial Basket Hall of Fame in 1989

Majereo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.nba.com/history/legends/kc-jones/index.html