Boston Celtics
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Boston Celtics | |
| Ukanda | Eastern Conference |
| Daraja | Atlantic Division |
| Imeanzishwa | 1946 |
| Historia | Boston Celtics (1946–) |
| Uwanja | TD Garden |
| Mji | Boston, Massachusetts |
| Rangi ya timu | Green White Black |
| Mmiliki | |
| Meneja mkuu | Wycliffe "Wyc" Grousbeck Stephen Pagliuca H. Irving Grousbeck |
| Kocha mkuu | Doc Rivers |
| D-League affiliate | Maine Red Claws |
| Ubingwa | 17 (1957, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1986, 2008) |
| Mataji ya ukanda | 20 (1957, 1958, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1985, 1986, 1987, 2008) |
| Mataji ya daraja | |
| Tovuti rasmi | nba.com/celtics |
Boston Celtics ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Boston, Massachusetts. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kevin Garnett.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boston Celtics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |