Mtumiaji:BRIAN.N.ZAKALIA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kambare ni aina ya samaki ambao hupatikana mitoni na mara nyingi hukaa sehemu zenye
matope ni samaki mwenye miba mikali na mwenye ngozi nyeusi ambaye huchukua muda 
kufa hata akiwa nje ya maji pia samaki huyu huliwa kama chakula kingine na asiyekuwa na
madhara yoyote yale kiafya.