Mto Tennessee
Mandhari
Chanzo | Maungano ya mito French Broad River na Holston River mjini Knoxville |
Mdomo | Mto Ohio mjini Paducah |
Nchi | Marekani |
Urefu | 1,049 km |
Kimo cha chanzo | 240 m |
Tawimito | French Broad River na Holston River |
Mkondo | 2,000 m³/s |
Eneo la beseni | 105,870 km² |
Miji mikubwa kando lake | Knoxville, Chattanooga, Huntsville |
Mto Tennessee ni tawimto mrefu wa mto Ohio nchini Marekani. Chanzo chake kipo mjini Knoxville ambako mito miwili midogo zaidi inaungana. Mwendo wake hupita sehemu za jimbo la Tennessee kabla ya kuingia katika jimbo la Alabama. Baadaye inarudi Tennessee hadi kuingia Kentucky inapoishia katika mto Ohio karibu na mji wa Paducah.
Kuna milambo mbalimbali kwenye njia ya mto inayosimamiwa na mamlaka ya Tennessee Valley Authority.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tennessee Valley Authority Ilihifadhiwa 4 Novemba 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |