Mshikaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mshikaji ni neno kutoka lugha ya mitaani. Linaweza kumaanisha rafiki, lakini mara nyingi neno hili halitumiwi kwa watu wa karibu sana na kwa kweli si neno zuri kulitumia hasa ukiwa unalijua chanzo chake na maana yake.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshikaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.