Nenda kwa yaliyomo

Mrisho Mpoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mrisho Mpoto
Mjomb akitumbuiza
Mjomb akitumbuiza
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Mrisho Mpoto
Pia anajulikana kama "Mjomba"
Amezaliwa 27 Oktoba 1978 (1978-10-27) (umri 46)
Asili yake Songea, Tanzania
Aina ya muziki Dansi
Hip Hop
Kazi yake Mwimbaji
Mwanamuziki
[[Mtunzi wa

nyimbo]]
Mwigizaji
Mkurugenzi MPOTO THEATRE GALLERY
Mwandishi wa vitabu vya Ushahiri
Mwanzilishi MPOTO FOUNDATION
Mwanzilishi MPOTO ARTS COLLEGE]]
Mwanaharakati za Kijamii Africa

Ala Ngoma
Sauti
Miaka ya kazi 1994 - hadi leo
Ame/Wameshirikiana na Irene Sanga<r>[[Banana

Zorro]]
Parapanda
Fabian

Tovuti Blogu
Mpoto katika ZIFF

Mrisho Mpoto (amezaliwa 27 Oktoba 1978[1]) ni msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani (theatre performances), mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina lake la utani kama Mjomba au Mpoto. Pia, anafahamika kwa kuimba nyimbo kama vile Salam Zangu Mjomba, Nikipata Nauli, Adela, Chocheeni Kuni, Samahani Wangangu, Mtu Huru, Waite na Njoo Uichukue alizoimba na Banana Zorro, Ismail Kipira, Felly Kano, Nuruel, Linah Sanga, Ditto, Peter Msechu, Diamond Platnums.

Mrisho Mpoto ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki la Parapanda, baadae Mpoto Theatre.

Marejeo

  1. "Wasifu wa Mpoto katika BC-Bongo Celebrity". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-15. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mrisho Mpoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.