Moses Mchunu
Moses Mchunu(alizaliwa mnamo mwaka 1953)[1] ni mwanamuziki wa Maskandi kutokea kwa Zulu-Natal, Afrika Kusini.Anajulikana Sana kwa wimbo wake wa "Qhwayilahle",ambao ulishirikishwa kwenye albamu ya Indestructible Beat ya Soweto mnamo mwaka 1985.[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Colin Larkin (writer)|Colin Larkin, mhariri (1992). Encyclopedia of Popular Music|The Guinness Encyclopedia of Popular Music (toleo la First). Guinness Publishing. uk. 1571. ISBN 0-85112-939-0.
- ↑ Nathan Brackett, Christian David Hoard (2004). The New Rolling Stone Album Guide. Simon and Schuster. ku. 916. ISBN 9780743201698.
Moses Mchunu.
Unknown parameter|url-access=
ignored (help)