Morro Negro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morro Negro
Mnara wa taa Morro Negro

Morro Negro ni kilima kilichopo karibu na pwani ya mashariki ya kisiwa cha Cape Verde nchini Angola. Mwinuko wake ni 156m. Cabeça dos Tarrafes ni Kijiji kilichopo karibu na kilima Cha Morro Negro ni takribani 5.5km kaskazini magharibi

Hifadhi[hariri | hariri chanzo]

Kilima icho ni sehemu ya Hifadhi ya Asili ya Turtle ambayo inashughulikia eneo la nchi kavu na Majini[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Morro Negro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

{Jamii:jiografia ya Angola]]

  1. Protected areas in the island of Boa Vista Archived 19 Septemba 2020 at the Wayback Machine. - Municipality of Boa Vista, March 2013
  2. Resolução nº 36/2016 Archived 18 Januari 2021 at the Wayback Machine., Estratégia e Plano Nacional de Negócios das Áreas Protegidas