Mlima Menengai
Mlima Menengai ni volkeno yenye kimo cha mita 2,778 juu ya UB iliyoko katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Nakuru, nchini Kenya, Afrika[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Seach, John. "Menengai Volcano - John Seach". www.volcanolive.com. Iliwekwa mnamo 28 February 2015. Check date values in:
|accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Menengai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |