Mkoa wa Thanh Hóa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thanh Hóa ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Thanh Hóa. Eneo lake ni 11,133.4 km². Mwaka 2009 wakazi 3,400,595 walihesabiwa.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Thanh Hóa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |