Mkoa wa Mashariki ya Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa Mashariki ya Juu ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita ya mraba 8,842.

Makao makuu ni Bolgatanga.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki ya Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.