Mkoa wa Hậu Giang
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hậu Giang ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Vị Thanh. Eneo lake ni 1,608 km². Mwaka 2009 wakazi 757,300 walihesabiwa.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hậu Giang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |