Mkate wa tapalapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkate wa Tapalapa ni mkate unaopatikana Senegal, Gambia na Guinea. Mkate huo una umbo kama mkate unaopatikana Ufaransa.

Wauzaji wa mkate wa Tapalapa
Uokaji wa mkate wa Tapalapa


Mikate ya Tapalapa huwa inaliwa na maharage, samaki, pamoja na vyakula vingine vya Gambia. Huwa vinauzwa na kuokwa kwenye mitaani. Huwa inauzwa na watu wa kabila la Fula wanaojulikana kwa kubadilishana bidhaa.

Viungo muhimu ni Unga wa ngano na Amira.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]