Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training ni wizara ya Tanzania inayohusika na utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi na sera juu ya sayansi na teknolojia[1].

Historia[hariri | hariri chanzo]

Wizara iliundwa na Rais John Magufuli kama mchanganyiko wa majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Jukumu la mawasiliano liliunganishwa kuwa Wizara ya Ujenzi, Usafiri na Mawasiliano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]