Milima Ogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya Almadow.

Milima Ogo (pia Galgodon) ni safu ya milima ya Somalia (Pembe ya Afrika).

Urefu wake unafikia hadi mita 2,450 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Ogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.