Mikrolita
Mandhari
Mikrolita ni kipimo cha mjao ambacho ni sehemu ya milioni ya lita moja. Hii ni sawa na mm³ (milimita ya mjao) 1.
Alama yake ya kisayansi ni μl au μL.
Kitone cha maji kina mikrolita 10 hadi 50; idadi kamili inategemeana na ubora wa maji na halijoto.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mikrolita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |