Matsue, Shimane
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Matsue | |||
|
|||
| Nchi | Japani | ||
|---|---|---|---|
| Kanda | Chūgoku | ||
| Mkoa | Shimane | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 194,413 | ||
| Tovuti: www.city.matsue.shimane.jp | |||
Matsue (松江市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Shimane. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 190 000 wanaoishi katika mji huu.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Matsue, Shimane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |